
Rapa kutoka nchini Tanzania Webiro Wassira maarufu kama Wakazi ametangaza rasmi jina la album yake mpya ambayo ameipa jina la “BEBERU”
Wakazi ametangaza hilo kupitia ukurasa wake wa Twitter ambapo ameitaja album yake hiyo kuwa yenye ubora mkubwa.
“My next album (droppin this this) #BEBERU is a masterpiece!! Stay tuned…,” Ameandika kupitia Twitter.
Ikumbukwe, Beberu inaenda kuwa album ya 4 kutoka kwa rapa Wakazi baada ya “Abacus”, “Kisimani” na “Live at Sauti za Busara”.