Rapa Wakazi Amkingia Kifua Master Jay Dhidi ya Kubezwa na Wasanii

Rapa Wakazi Amkingia Kifua Master Jay Dhidi ya Kubezwa na Wasanii

Rapa Wakazi, ameonyesha kutopendezwa na namna ambavyo mtayarishaji nguli Master Jay amekuwa akibeuliwa na baadhi ya wasanii na producers wa kizazi cha sasa. Kupitia ujumbe alioweka kwenye ukurasa wake wa mitandao ya kijamii, Wakazi ameeleza kusikitishwa na hali hiyo, akibainisha kuwa mchango mkubwa wa Master Jay katika tasnia ya muziki wa Tanzania haupaswi kusahaulika wala […]

Read More
 Wakazi Akosoa Mikataba Kandamizi kwa Wasanii Tanzania, Atumia Kisa cha Harmonize Kuonyesha Unyonyaji

Wakazi Akosoa Mikataba Kandamizi kwa Wasanii Tanzania, Atumia Kisa cha Harmonize Kuonyesha Unyonyaji

Msanii wa Hip Hop nchini Tanzania, Wakazi, ameibua mjadala mkali mitandaoni baada ya kukosoa vikali aina ya mikataba wanayopewa wasanii wachanga na baadhi ya lebo kubwa za muziki nchini humo. Kupitia chapisho lake kwenye mtandao wa Instagram, Wakazi alisema kuwa mikataba mingi inalenga kuwanufaisha wamiliki wa lebo huku wasanii wakibaki bila mamlaka ya kazi zao […]

Read More
 RAPPER WAKAZI MBIONI KUACHIA ALBUM MPYA.

RAPPER WAKAZI MBIONI KUACHIA ALBUM MPYA.

Rapa kutoka nchini Tanzania Webiro Wassira maarufu kama Wakazi ametangaza rasmi jina la album yake mpya ambayo ameipa jina la “BEBERU” Wakazi ametangaza hilo kupitia ukurasa wake wa Twitter ambapo ameitaja album yake hiyo kuwa yenye ubora mkubwa. “My next album (droppin this this) #BEBERU is a masterpiece!! Stay tuned…,” Ameandika kupitia Twitter. Ikumbukwe, Beberu […]

Read More