Entertainment

RINGTONE AFUNGUKA KUINGIA KWENYE NDOA

RINGTONE AFUNGUKA KUINGIA KWENYE NDOA

Mwanamuziki wa nyimbo za injili  Ringtone amefunguka na kusema kwamba hana mpango wa kuoa hivi karibuni.

Katika mahojiano na Nichols Kioko hitmaker huyo wa ngoma ya “Sisi ndio tuko” amesema mapenzi yake kwenye muziki ndio yamemfanya haishi maisha mazuri licha ya changamoto anazokutana  nazo.

Ringtone Anaamini wanawake wanaweza kumuaharibia shughuli zake za muziki lakini pia kumfilisisha kiuchumi.

Hata hivyo amedokeza ujio wa ngoma yake mpya na kundi la muziki wa injili kutoka Tanzania Zabron Singers ambayo kwa mujibu wake itaingia sokoni mwisho mwa wiki hii.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *