Ringtone Apoko Awataka Wasanii Wakongwe wa Injili Kenya Kustaafu

Ringtone Apoko Awataka Wasanii Wakongwe wa Injili Kenya Kustaafu

Msanii wa muziki wa injili Ringtone Apoko ameibua mjadala mkubwa baada ya kutoa kauli nzito akiwataka wasanii wakongwe wa injili kuachia nafasi vijana, akidai kuwa wameshindwa kuendeleza na kuupa mwelekeo mpya muziki wa injili, hali iliyosababisha kuporomoka kwa umaarufu wa muziki huo. Akizungumza kupitia mitandao ya kijamii, Ringtone amesema kuwa tasnia ya muziki wa injili […]

Read More
 Ringtone Apatwa na Kizaazaa Baada ya Tiktoker Kuvuruga Huduma ya Mahubiri Mtandaoni

Ringtone Apatwa na Kizaazaa Baada ya Tiktoker Kuvuruga Huduma ya Mahubiri Mtandaoni

Msanii wa nyimbo za injili, Ringtone Apoko, amejipata katika hali ya sintofahamu baada ya tukio lisilo la kawaida kutokea wakati wa huduma yake ya mahubiri kupitia TikTok Live. Kwa mujibu wa video iliyosambaa mtandaoni, msanii huyo alikuwa akihubiri na kuwasihi wafuasi wake kumrudia Mwenyezi Mungu, wakati ghafla Tiktoker mmoja mrembo aliingilia kati matangazo hayo ya […]

Read More
 Ringtone Apoko Atangaza Kuhutubia Umma Baada ya Kuachiwa kwa Dhamana

Ringtone Apoko Atangaza Kuhutubia Umma Baada ya Kuachiwa kwa Dhamana

Msanii maarufu wa muziki wa injili, Ringtone Apoko, amedokeza kuwa atazungumza na umma wiki hii, katika kile kinachoonekana kama hotuba muhimu kufuatia matukio ya hivi karibuni maishani mwake. Katika ujumbe huo aliyouchapisha Instagram, msanii huyo alionesha shukrani kwa marafiki zake waliomsaidia wakati wa kipindi kigumu, na kumshukuru Mungu kwa kupitia changamoto alizopitia. “WILL BE ADRESS […]

Read More
 Msanii Ringtone Aachiwa kwa Dhamana ya Shilingi Milioni 1

Msanii Ringtone Aachiwa kwa Dhamana ya Shilingi Milioni 1

Msanii wa nyimbo za Injili, Alex Apoko almaarufu Ringtone, aliachiliwa kwa dhamana ya Shilingi milioni 3 au kwa njia mbadala ya bondi ya Shilingi milioni 1, katika kesi inayomkabili ya kula njama ya kutapeli ardhi. Ringtone alifikishwa katika Mahakama ya Milimani siku ya Alhamisi, pamoja na mshukiwa mwenzake Alfred Juma Ayora, wakikabiliwa na shtaka la […]

Read More
 Mahakama Yakataa Dhamana kwa Ringtone Kufuatia Mashtaka ya Utapeli wa Ardhi ya Shilingi Milioni 50

Mahakama Yakataa Dhamana kwa Ringtone Kufuatia Mashtaka ya Utapeli wa Ardhi ya Shilingi Milioni 50

Mwimbaji maarufu wa muziki wa injili nchini Kenya, Alex Apoko, Maarufu Ringtone, amepata pigo kubwa hapo jana baada ya Mahakama ya Nairobi kukataa ombi lake la kuachiliwa kwa dhamana. Ringtone na mshukiwa mwenzake Alfred Juma Ayora wanashtakiwa kwa kosa la kula njama ya kutapeli ardhi yenye thamani ya shilingi milioni hamsini, inayodaiwa kumilikiwa na Bi. […]

Read More
 RINGTONE APOKO ATANGAZA KUACHA MUZIKI WA INJILI

RINGTONE APOKO ATANGAZA KUACHA MUZIKI WA INJILI

Nyota wa muziki kutoka Kenya Ringtone amezua mjadala mkali kwenye  mitandao ya kijamii mara baada ya kutangaza kuachana na kazi za sanaa ya muziki wa injili. Kupitia video aliyoichapisha kupitia ukurasa wake wa Instagram ringtone ameweka wazi kwamba ameamua kujiunga rasmi na muziki wa kidunia ambapo sasa atajikita kwenye uimbaji wa nyimbo za mapenzi. Hitmaker […]

Read More
 RINGTONE AFUNGUKA KUINGIA KWENYE NDOA

RINGTONE AFUNGUKA KUINGIA KWENYE NDOA

Mwanamuziki wa nyimbo za injili  Ringtone amefunguka na kusema kwamba hana mpango wa kuoa hivi karibuni. Katika mahojiano na Nichols Kioko hitmaker huyo wa ngoma ya “Sisi ndio tuko” amesema mapenzi yake kwenye muziki ndio yamemfanya haishi maisha mazuri licha ya changamoto anazokutana  nazo. Ringtone Anaamini wanawake wanaweza kumuaharibia shughuli zake za muziki lakini pia kumfilisisha kiuchumi. Hata hivyo amedokeza ujio […]

Read More
 MAHAKAMA YAAHIRISHA KESI ILIYOWASILISHWA NA RINGTONE DHIDI YA MWANABLOGU ROBERT ALAI

MAHAKAMA YAAHIRISHA KESI ILIYOWASILISHWA NA RINGTONE DHIDI YA MWANABLOGU ROBERT ALAI

Mahakama ya Kibera imeahirisha kwa mara nyingine kikao cha kusikiliza kesi iliyowasilishwa na mwanamuziki Ringtone dhidi ya mwanablogu Robert Alai ambaye alimshambulia na kumjeruhi vibaya mwaka wa 2021. Akizungumza nje ya mahakama ya kibera Wakili wa Ringtone Evans Ondiek amesema Kesi hiyo imeahirishwa hadi Juni 3 mwaka wa 2022,baada ya wakili wa Robert alai kukosa kufika mahakamani kusikiliza ushahidi ambao ringtone […]

Read More