Sports news

Romelo Lukaku apendekeza Thierry Henry kuwa Kocha Ubelgiji

Romelo Lukaku apendekeza Thierry Henry kuwa Kocha Ubelgiji

Mshambuliaji wa Inter Milan na timu ya taifa ya Ubelgiji, Romelo Lukaku amempendekeza kocha Thierry Henry kuwa Kocha Mkuu wa timu ya taifa ya nchi hiyo.

Lukaku amesema, “Kwangu mimi, Thierry Henry ndiye Kocha Mkuu ajaye wa Ubelgiji, hakuna wasiwasi. Ninasema wazi kuwa Henry atakuwa kocha wa Ubelgiji”

Henry ambaye ni kocha msaidizi wa timu hiyo ya taifa anatajwa kushika nafasi hiyo baada ya kocha Roberto Martinez kuachia ngazi baada ya kuondolewa kwenye hatua ya makundi Kombe la Dunia 2022.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *