Entertainment

Sijutii kuondoka Abtex Promotions – Serena Bata

Sijutii kuondoka Abtex Promotions – Serena Bata

Msanii kutoka nchini Uganda Serena Bahata amedai kuwa hajutii kitendo cha kujiondoa kwenye uongozi wake wa zamani wa Abtex Promotions.

Kwenye mahojiano yake hivi karibuni amesema anaendelea vizuri na menejimenti yake mpya inayoongozwa na jamaa anayefahamika kama Juma.

“Sijutii kutofautiana kimawazo na mzee Abitex. Kwa sasa niko chini ya uongozi wa Junior promotions na wananisaidia kupata wateja,” alisema.

Serena Bata amekuwa akisusua kimuziki tangu mwaka 2016 alipoachia wimbo wake uitwao “Nsubiza” aliyomshirikisha msanii aliyegeukia siasa Bobi Wine.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *