Promota Abtex afunguka kutomsamehe Serena Bata

Promota Abtex afunguka kutomsamehe Serena Bata

Promota wa muziki kutoka nchini Uganda Abtex amefunguka kuwa hana mpango wa kumsamehe msanii serena bata licha ya msanii huyo kusimama naye kipindi anatoka gerezani. Kwenye mahojiano yake hivi karibuni amesema bado ana machungu na serena kwa kuvunja mkataba wa kufanya naye kazi licha ya kuwekeza mamilioni ya pesa kusimamia muziki wake. “Niliwekeza zaidi ya […]

Read More
 Sijutii kuondoka Abtex Promotions – Serena Bata

Sijutii kuondoka Abtex Promotions – Serena Bata

Msanii kutoka nchini Uganda Serena Bahata amedai kuwa hajutii kitendo cha kujiondoa kwenye uongozi wake wa zamani wa Abtex Promotions. Kwenye mahojiano yake hivi karibuni amesema anaendelea vizuri na menejimenti yake mpya inayoongozwa na jamaa anayefahamika kama Juma. “Sijutii kutofautiana kimawazo na mzee Abitex. Kwa sasa niko chini ya uongozi wa Junior promotions na wananisaidia […]

Read More
 Abtex Promotions avunja mkataba na msanii Serena Bata.

Abtex Promotions avunja mkataba na msanii Serena Bata.

Meneja wa wasanii nchini Uganda Abbey Musinguzi maarufu Abtex Promotions ametangaza kusitisha kufanya kazi na msanii Serena Bata. Hii ni baada ya msanii huyo kuonekana akivuta sigara hadharani kitendo ambacho kilimkasirisha meneja wake huyo na kuchukua maamuzi magumu ya kutofanya naye kazi. Kwenye mahojiano yake hivi karibuni Abtex amesema licha ya kuvunja mkataba wake na […]

Read More