Entertainment

SPICE DIANA AMSHAURI SHEEBAH KARUNGI KUWAAJIRI WALINZI

SPICE DIANA AMSHAURI SHEEBAH KARUNGI KUWAAJIRI WALINZI

Nyota wa muziki nchini Uganda Spice diana ameonekana kukerwa na kitendo cha msanii mwenzake Sheebah karungi kudhalalishwa kingono wiki iliyopita kwenye moja ya performance yake

Katika mahojiano yake ya hivi karibuni Spice diana amelaani vikali kitendo cha msanii huyo kuvunjia heshima akiwa kwenye shughuli zake za kimuziki huku akitoa changomoto kwa Sheebah Karungi kuawaajiri walinzi watakaompa usalama kwenye shows zake.

Hata hivyo Sheebah hajaweka wazi mwanamume aliyemdhalalisha kijinsia ila walimwengu kwenye mitandao ya kijamii wamehoji kuwa huenda ni professa. Gilbert Bukenya. ndiye aliyehusika.

Utakumbuka mwaka 2020 aliwajiri walinzi kwa ajili ya kumpa usalama lakini watu walimkejeli kwa kusema kwamba ana walinzi wengi kuliko ngoma zake kali.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *