Spice Diana Afichua Mbinu Aliyotumia Kukwepa Rushwa ya Ngono

Spice Diana Afichua Mbinu Aliyotumia Kukwepa Rushwa ya Ngono

Msanii nyota wa muziki kutoka Uganda, Spice Diana, amefunguka kuhusu changamoto alizokumbana nazo mwanzoni mwa safari yake ya muziki, akieleza namna alivyokwepa wanaume waliotaka kutumia nafasi zao kumshawishi kwa rushwa ya ngono. Akizungumza katika mahojiano na kituo kimoja cha televisheni nchini Uganda, Spice Diana amesema katika kipindi ambacho alikuwa bado anatafuta mafanikio kwenye tasnia ya muziki, alikutana na […]

Read More
 Spice Diana Adai Hutumia Milioni 2 za Uganda kwa Siku

Spice Diana Adai Hutumia Milioni 2 za Uganda kwa Siku

Msanii nyota kutoka Uganda, Spice Diana, amefunguka kuhusu kiwango cha pesa anachotumia kwenye mahitaji yake kila siku. Akizungumza katika mahojiano na kituo kimoja cha runinga nchini humo, Spice Diana amesema kuwa hutumia takribani shilingi milioni 2 za Uganda kwa siku, hasa anapokuwa na shoo. Amesema hata anapokuwa nyumbani bila kufanya maonesho wala kulipa bili kubwa, […]

Read More
 Spice Diana Ashangazwa na Ukuaji wa Wafuasi Wake Mitandaoni

Spice Diana Ashangazwa na Ukuaji wa Wafuasi Wake Mitandaoni

Msanii nyota wa muziki kutoka Uganda, Spice Diana, ameonesha mshangao mkubwa baada ya kushuhudia ongezeko kubwa la wafuasi wake katika mitandao mbalimbali ya kijamii tangu kuanza kwa mwaka huu wa 2026. Kupitia Instastory yake, Spice Diana amesema awali alidhani kuwa umaarufu mkubwa mtandaoni huja zaidi na drama, lakini kwa sasa yupo katika kipindi cha amani […]

Read More
 Spice Diana Aitaka Serikali Kufungua Facebook na Kudhibiti TikTok

Spice Diana Aitaka Serikali Kufungua Facebook na Kudhibiti TikTok

Msanii wa muziki kutoka Uganda, Spice Diana, ametoa wito kwa serikali ya Uganda kufungua kikamilifu mtandao wa Facebook, akisema kufungwa kwake kumeathiri biashara na wabunifu wa maudhui nchini humo. Akizungumza kwenye mahojiano hivi karibuni, Spice Diana amesema Facebook ni jukwaa muhimu kwa wajasiriamali na wasanii, lakini kufungiwa kwake kumepelekea watumiaji wengi kulazimika kutumia VPN, hali […]

Read More
 Spice Diana Akataa Kuweka Wazi Uhusiano Wake wa Kimapenzi

Spice Diana Akataa Kuweka Wazi Uhusiano Wake wa Kimapenzi

Msanii nyota wa Uganda, Spice Diana, ameweka wazi kuwa yupo kwenye uhusiano wa kimapenzi lakini ameamua kuficha kwa sasa hadi pale atakapokuwa tayari kuuthibitisha rasmi mbele ya umma. Akizungumza kwenye mahojiano na kituo kimoja cha runinga nchini Uganda, Spice Diana amesema kuwa anafurahia maisha yake ya mapenzi kwa utulivu mkubwa, mbali na macho ya umma. […]

Read More
 Spice Diana Avishwa Pete ya Uchumba Nchini Uingereza

Spice Diana Avishwa Pete ya Uchumba Nchini Uingereza

Msanii nyota wa muziki kutoka Uganda, Spice Diana, ameripotiwa kuvishwa pete ya uchumba kwa siri nchini Uingereza. Taarifa hizo zimechochewa zaidi na mfululizo wa picha na video zilizosambaa mitandaoni zikionyesha mrembo huyo akiwa na pete mpya linaloonekana kama la uchumba. Katika picha hizo, Spice Diana anaonekana mwenye furaha kubwa huku akiwa kwenye mazingira yanayodaiwa kuwa […]

Read More
 Spice Diana Ajitolea Kulipa deni la Promota Aliyetupwa Jela

Spice Diana Ajitolea Kulipa deni la Promota Aliyetupwa Jela

Mwanamuziki kutoka Uganda, Spice Diana, ameonyesha moyo wa huruma baada ya kuahidi kumsaidia promota wa matamasha Biggie Events, aliyetupwa gerezani Luzira Prison kwa kushindwa kulipa deni la takriban Ugx milioni 70, sawa na takriban KSh milioni 2.5. Kupitia mitandao ya kijamii, Spice Diana ameeleza kuguswa na hali ya promota huyo ambaye amekuwa akihangaika kurejesha mkopo […]

Read More
 Spice Diana Akanusha Taarifa za Kushambuliwa Kuwa Kiki

Spice Diana Akanusha Taarifa za Kushambuliwa Kuwa Kiki

Mwanamuziki kutoka Uganda Spice Diana, amekanusha taarifa zinazosambaa mitandaoni zikidai kuwa tukio la kushambuliwa na wahuni waliokuwa wameabiri boda boda lilikuwa kiki au tukio lililopangwa kwa ajili ya kujitangaza. Katika taarifa, Spice Diana amesema uvumi kwamba tukio hilo lilipangwa kwa nia ya kujitangaza hauna msingi wowote, akifafanua kuwa wahuni walifuatilia gari lake kwa muda kabla […]

Read More
 Spice Diana Amshambulia Sheebah, Adai Analipa Wanablogu Kumchafua

Spice Diana Amshambulia Sheebah, Adai Analipa Wanablogu Kumchafua

Msanii nyota wa muziki nchini Uganda, Spice Diana, ameendeleza mashambulizi ya maneno dhidi ya msanii mwenzake Sheebah Karungi, akimtuhumu kuwalipa wanablogu na baadhi ya watu kutoka kwenye timu yake ili kusambaza taarifa za kumchafua mtandaoni. Akizungumza katika mahojiano na kituo cha runinga nchini Uganda, Spice Diana alisema kuwa Sheebah mara nyingi hujikita kumzungumzia kila anapopata […]

Read More
 Jowy Landa Apinga Kauli ya Spice Diana Kuhusu Mafanikio Bila Kuwa na Hit songs

Jowy Landa Apinga Kauli ya Spice Diana Kuhusu Mafanikio Bila Kuwa na Hit songs

Mwanamuziki chipukizi kutoka Uganda, Jowy Landa, amejitokeza hadharani kupinga kauli ya Spice Diana kwamba mtu anaweza kufanikiwa katika muziki bila kuwa na nyimbo kali (hit songs). Kupitia mahojiano aliyofanya hivi karibuni na kituo cha redio, Jowy Landa alisema kuwa mafanikio ya kweli katika muziki hayawezi kupimwa kwa umaarufu wa mtu mtandaoni au mwonekano wa kisanaa […]

Read More