Entertainment

Stamina ashinda Tuzo ya Msanii bora wa Hiphop Afrika Mashariki

Stamina ashinda Tuzo ya Msanii bora wa Hiphop Afrika Mashariki

Rapa kutoka Tanzania Stamina ameshinda tuzo ya Msanii Bora wa Rap/Hip Hop Afrika Mashariki kwenye Tuzo za Platform show 257 za nchini Burundi.

Kwenye kipengele hicho alikuwepo pia Rapa wa Kenya Khaligraph Jones, Rosa Ree wa Tanzania, B-Face wa Burundi na Ish Kevin wa Rwanda.

Stamina hata hivyo hakuweza kuhudhuria kwenye hafla ya utowaji wa tuzo hizo kwa kuwa ratiba yake iliingiliana na show yake ya Fiesta ya Jijini Mwanza, Tanzania.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *