HAPPY C ATANGAZA UJIO WA EP YAKE MPYA

HAPPY C ATANGAZA UJIO WA EP YAKE MPYA

Msanii wa muziki kutoka 001 music Happy C ametangaza ujio wa EP yake mpya ambayo ana mpango wa kuachia ndani ya mwaka huu wa 2022. Akiwa kwenye moja ya interview  happy C amewataka mashabiki wake kukaa mkao wa kula kuipokea EP yake hiyo ambayo kwa mujibu wake itakuwa na jumla ya mikwaju 5 ya moto. […]

Read More