Serikali Kenya Kushirikiana na Waandalizi wa Nairobi Marathon Kuboresha Utalii wa Michezo
Waziri wa Utalii, Bi. Rebecca Miano, amesema serikali iko tayari kushirikiana na waandalizi wa mbio za kila mwaka za Nairobi Standard Chartered Marathon ili kuboresha hadhi ya mashindano hayo na kuyatumia kama nyenzo ya kukuza utalii wa michezo nchini. Akizungumza leo katika Bustani ya Uhuru, Nairobi, wakati wa makala ya 22 ya mbio hizo, Miano […]
Read More