2 Chainz aonyesha pesa alizoficha Marehemu Baba yake

2 Chainz aonyesha pesa alizoficha Marehemu Baba yake

Rapa kutoka nchini Marekani 2 Chainz ameonyesha pesa nyingi ambazo baba yake aliyefariki zaidi ya miaka kumi iliyopita aliziacha bila taarifa kwenye nyumba ya rapa huyo. Kupitia Ukurasa wake wa Instagram 2 Chainz ameweka video kwenye Instastory inayoonyesha fedha hizo ambazo nyingi zimekunjwa huku akisikika akisema ‘Nilikuwa na tafrija kwa ajili ya siku yangu ya […]

Read More