SAUTI SOL,DIAMOND PLATINUMZ NA NANDY WANG’ARA KWENYE TUZO ZA AFRIMMA 2021

SAUTI SOL,DIAMOND PLATINUMZ NA NANDY WANG’ARA KWENYE TUZO ZA AFRIMMA 2021

Zoezi la ugawaji wa tuzo za muziki za AFRIMMA  kwa mwaka 2021 limehitimishwa usiku wa kuamkia huko Multiple Venues nchini Marekani. Mastaa kadhaa wameweza kujishindia tuzo hiyo kubwa ya muziki kama vile Wizkid, Flavour,  Fally Ipupa, Focalistic,Ruger na wengine wengi, pia tumeshuhudia tena wasanii kutoka Tanzania na Kenya wakiendelea kufanya vyema. Mwaka huu Afrika mashariki […]

Read More
 RICK ROSS KUACHIA ALBUM MPYA MWEZI DISEMBA,2021

RICK ROSS KUACHIA ALBUM MPYA MWEZI DISEMBA,2021

Mkali wa muziki wa Hiphop kutoka Marekani Rick Ross ametangaza tarehe rasmi ambayo album yake mpya itaingia sokoni. Kupitia ukurasa wake Instagram rozay amesema album yake mpya “Richer Than I Ever Been” itatoka rasmi Disemba 10 mwaka huu. Akizungumzia kuhusu jina la album hiyo ya “Richer Than I’ve Ever Been”, Rick Ross amesema kuwa wazo […]

Read More