Msanii 2mbili Alazwa Hospitalini Baada ya Kushambuliwa na Watu Wasiojulikana
Mckekeshaji maarufu nchini Kenya, 2Mbili, amewaacha mashabiki wake na huzuni na mshangao baada ya kufichua kupitia ukurasa wake wa Instagram kuwa alivamiwa na watu wasiojulikana alipokuwa kwenye foleni ya magari, karibu kabisa na eneo lililotokea ajali mbaya iliyogharimu maisha ya abiria kadhaa. Katika ujumbe huo uliojaa hisia, msanii huyo alieleza kuwa alipigwa jicho lake la […]
Read More