Rapa King Kaka atangaza kuachia Album yake mpya Disemba 2022
Rapa kutoka nchini Kenya King Kaka ametangaza ujio wa album yake mpya ambayo ameipa jina la 2nd life kabla mwaka huu 2022 haujaisha. Kupitia ukurasa wake wa Instagram Bosi huyo wa Kaka Empire amesema ameamua kuja na album hiyo kwa ajili ya kumrudishia Mwenyezi Mungu fadhila kwa kumpa nafasi nyingine ya kuishi duniani ikizingatiwa kuwa […]
Read More