WASANII WA KUNDI LA MBUZI GANG WAACHIA RASMI ALBUM YAO MPYA
Hatimaye wasanii wa kundi la muziki wa Gengetone nchini Mbuzi Gang wameachia rasmi album yao mpya iliyokuwa ikisubiriwa na mashabiki wao. Mbuzi Gang wamewabarki mashabiki zao na “Three Wise Goats Album” , album ambayo ina jumla ya nyimbo 13 za moto, ikiwa na kolabo 10 pekee kutoka kwa wakali kama Jose Chameleone, Lava Lava,KRG The Don, […]
Read More