Mali za Tekashi 6ix9ine kupigwa mnada machi 5, 2025
Mali na bidhaa za kifahari za rapa mtukutu kutoka nchini Marekani Tekashi 6ix9ine, ikiwa ni pamoja na vito, mabango ya muziki vinatarajiwa kupigwa mnada na Mamlaka ya huduma ya mapato nchini Marekani IRS ili kulipa madeni yake anayodaiwa. Mnada huo uliopangwa kufanyika Machi 5, mwaka wa 2025, utakuwa na bidhaa za bei ya juu zilizonunuliwa […]
Read More