RIPOTI YA UCHUNGUZI ILIYOFANYWA NYUMBANI KWA ASAP ROCKY IMETOKA
Ripoti ya uchunguzi uliofanywa nyumbani kwa rappa A$ap Rocky, hatimaye imetoka, ambapo inadaiwa polisi wamekuta bunduki kadhaa na kitu pekee ambacho hakikuwekwa wazi ni kama Je, polisi waliipata Bunduki halisi iliyotumika kumpiga mtu risasi wakati wa mabishano kwenye tukio lilitokea huko Hollywood au la. Kwa mujibu wa TMZ, vyanzo vya utekelezaji wa sheria (Law enforcement […]
Read More