Abbah Process amjibu Baba Levo
Mtayarishaji wa muziki nchini Tanzania, Abbah Process amemjia juu msanii Baba Levo baada ya chapisho lake katika mtandao wa instagram kuhusiana na Marioo kumfuata mara kadhaa nyota Diamond na kumsihi amsaini kwenye lebo yake ya WCB. Kupitia chapisho hilo lipo katika ukurasa wa Baba Levo, Abbah ameacha ujumbe unaomtaka msanii huyo aache kukurupuka na kutetea upande moja […]
Read More