ABBY CHAMS AAHIDI KUFANYA MAKUBWA SONY MUSIC

ABBY CHAMS AAHIDI KUFANYA MAKUBWA SONY MUSIC

Mrembo mwenye kipaji kikubwa, Abby Chams ambaye amesaini mkataba na kampuni ya Sony Music Entertainment, amesema anajivunia kujiunga na lebo hiyo kubwa ya muziki kwani ndoto zake zinakwenda kutimia haraka. Akizungumza mara baada ya kusaini dili hilo Juni 8, 2022, Abigial amesema anajiona mwenye bahati na anaahidi kufanya makubwa kwani kazi yake inakwenda kuwa nyepesi […]

Read More
 ABBY CHAMS ADAI CHANGAMOTO YA KUTONGOZWA NA MAPRODYUZA KARIBU IMFANYE AACHE MUZIKI

ABBY CHAMS ADAI CHANGAMOTO YA KUTONGOZWA NA MAPRODYUZA KARIBU IMFANYE AACHE MUZIKI

Msanii wa Bongofleva, Abby Chams anasema amepitia changamoto katika harakati zake kama msanii wa kike hasa katika mchakato wa uandishi wa muziki, kurekodi na kuhakikisha kwamba wimbo wake unasikizwa na umma. Abby anasema kwamba kwa miaka mingi tangu aanze safari ya muziki amekabiliwa na changamoto nyingi ikiwemo kutongozwa na watayarishaji wa muziki na waelekezi wa […]

Read More