Kings Music yatoa ratiba ya msanii wake Abdukiba.
Uongozi wa lebo yake ambao ni King’s Music imewekwa wazi ratiba ya msanii wake Abdu Kiba kuelekea mwishoni mwa mwaka 2022. Kwa mujibu wa ratiba hiyo ambayo Kings Music walichapisha kwenye ukurasa wake rasmi wa Instagram kabla mwaka haujaisha Abdu Kiba ataachia EP yake mpya. EP hiyo imetajwa kwenye ratiba itatoka Desemba 16, huku mwezi […]
Read More