Abel Mutua Awataka Wakenya Wathamini Maadili Mema Mitandaoni
Mtayarishaji maarufu wa filamu, Abel Mutua, ameonekana kushangazwa na tabia ya Wakenya kupendelea kushabikia au kusambaza matukio ya matusi, vurugu, na drama kuliko yale yanayohusisha tabia njema au ujumbe wa heshima. Kupitia Instagram, Abel ameelezea masikitiko yake jinsi baadhi ya watu maarufu nchini wanavyojulikana si kwa matendo yao mema, bali kwa visa vya vurugu. Ametoa […]
Read More