Rayvanny adokeza ujio wa kolabo nyingine na Abigail Chams
Bosi wa Label ya Next Level Music (NLM), Msanii Rayvanny ameingia tena studio kufanya kazi na Abigail Chams ikiwa ni baada ya mwaka mmoja. Rayvanny aliwahi kumshirikisha Abigail Chams katika wimbo wake ‘Stay’ unaopatikana kwenye EP yake, New Chui iliyotoka Oktoba mwaka 2021. Hatua hiyo inakuja baada ya hivi karibuni Abigail Chams kufanya nyimbo mbili […]
Read More