Chris Brown Akana Mashtaka ya Kumpiga Mtu kwa Chupa Klabuni London
Msanii maarufu wa muziki wa R&B kutoka Marekani, Chris Brown, amekana mashtaka ya jaribio la kushambulia kwa kutumia chupa yaliyowasilishwa dhidi yake katika mahakama ya Uingereza. Brown alifika mbele ya mahakama jijini London, na kujitetea kuwa hana hatia katika tukio linalodaiwa kutokea kwenye klabu ya Tape iliyoko Mayfair, Februari 19, 2023. Kwa mujibu wa taarifa […]
Read More