Promota Abtex afunguka kutomsamehe Serena Bata

Promota Abtex afunguka kutomsamehe Serena Bata

Promota wa muziki kutoka nchini Uganda Abtex amefunguka kuwa hana mpango wa kumsamehe msanii serena bata licha ya msanii huyo kusimama naye kipindi anatoka gerezani. Kwenye mahojiano yake hivi karibuni amesema bado ana machungu na serena kwa kuvunja mkataba wa kufanya naye kazi licha ya kuwekeza mamilioni ya pesa kusimamia muziki wake. “Niliwekeza zaidi ya […]

Read More
 Abtex Promotions avunja mkataba na msanii Serena Bata.

Abtex Promotions avunja mkataba na msanii Serena Bata.

Meneja wa wasanii nchini Uganda Abbey Musinguzi maarufu Abtex Promotions ametangaza kusitisha kufanya kazi na msanii Serena Bata. Hii ni baada ya msanii huyo kuonekana akivuta sigara hadharani kitendo ambacho kilimkasirisha meneja wake huyo na kuchukua maamuzi magumu ya kutofanya naye kazi. Kwenye mahojiano yake hivi karibuni Abtex amesema licha ya kuvunja mkataba wake na […]

Read More
 PROMOTA ABTEX AZIDI KUMRUSHIA VIJEMBE PALLASO, ADAI TAMAA YA PESA ITAMPONZA KWENYE MUZIKI WAKE

PROMOTA ABTEX AZIDI KUMRUSHIA VIJEMBE PALLASO, ADAI TAMAA YA PESA ITAMPONZA KWENYE MUZIKI WAKE

Promota wa muziki nchini Uganda Abtex Musinguzi hana furaha kabisa na jinsi msanii Pallaso anasimamia shughuli zake za kibiashara. Kulingana na Abtex ,Pallaso pallaso na uongozi wake wamekuwa na mazoea ya kuchukua shows nyingi jambo ambalo limepelekea msanii huyo kushindwa kutumbuiza kwenye show zote ambazo amepewa. Promota huyo amemtaka Pallaso pamoja na uongozi wake aache […]

Read More