Promota Abtex Akamatwa huku Idadi ya vifo vya Freedom City ikifikia 10
Promota wa muziki Abtex Musinguzi maarufu kama Abtex amekamatwa na polisi baada ya watu 10 kupoteza maisha kutokana na mkanyagano katika shoo aliyokuwa ameiandaa kwenye ukumbi wa Freedom City mwishoni mwa mwaka 2022. Mshereheshaji wa shoo hiyo aliwaagiza mashabiki watoke nje ya ukumbi huo na kuelekea kwenye maegesho ya magari kushuhudia mbwembwe za kuukaribisha mwaka […]
Read More