LEO KATIKA HISTORIA FEBRUARI 28 MWAKA 2016 HAFLA YA UTOAJI TUZO ZA ACADEMY AWARDS ZILIFANYIKA HUKO LOS ANGELES
Siku kama ya leo Februari 28 mwaka wa 2016 makala ya 88 ya tuzo za filamu nchini Marekani maarufu kama Academy Awards zilifanyika huko Los Angeles. Tuzo hizo ambazo ziliendeshwa na Taasisi ya Academy of Motion Picture Arts and Sciences ziliandaliwa kwa ajili ya kutoa tuzo kwa waigizaji bora wa filamu mwaka wa 2015 kwenye […]
Read More