BEBE COOL AMVUA NGUO DIAMOND PLATINUMZ, ADAI ANAISHA MAISHA YA KUIGIZA

BEBE COOL AMVUA NGUO DIAMOND PLATINUMZ, ADAI ANAISHA MAISHA YA KUIGIZA

Msanii nguli nchini Bebe Cool amezilaumu vyombo vya habari nchini uganda kwa kuzitangaza sana nyimbo za msanii wa bongofleva Diamond Platinumz kuliko nyimbo za wasanii wa nchini hiyo. Akiwa kwenye moja ya Interview Bebe Cool amesema watangazaji wa redio na runinga wamewaaminisha mashabiki wa muziki nchini uganda kuwa Diamond Platinumz ndiye msanii mwenye mafanikio makubwa […]

Read More