HARMONIZE AMPA ZA USO DIAMOND PLATINUMZ, ADAI ANAMFANYIA FIGISU APOTEE KIMUZIKI
Staa wa muziki wa Bongofleva Harmonize ambaye ni mmiliki wa lebo ya muziki ya Konde Gang, amefunguka mengi kuhusu sakata la kutokuwa na maelewano na aliyekuwa boss wake Diamond Platnumz ,mara baada ya kutua nchini Tanzania akitokea nchini Marekani kwenye ziara yake ya kimuziki. Katika sakata hilo Harmonize ameeleza kuwa ugomvi wake ulianza baada ya […]
Read More