ERIC OMONDI AMVUA NGUO FEMI ONE, ADAI HANA JIPYA KWENYE TASNIA YA MUZIKI NCHINI KENYA

ERIC OMONDI AMVUA NGUO FEMI ONE, ADAI HANA JIPYA KWENYE TASNIA YA MUZIKI NCHINI KENYA

Mchekeshaji maarufu nchini Eric Omondi amemtolea uvivu staa wa muziki nchini Femi One hii ni baada ya mrembo huyo kumshtumu vikali kwa kauli aliyoitoa majuzi kuwa muziki wa Kenya umekufa. Kupitia ukurasa wake wa Instagram Omondi ameshangazwa ni wapi Femi One ametoa nguvu ya kumshambulia ikizingatiwa kuwa amezembea kwenye suala la kuachia muziki mzuri kwani […]

Read More