MEEK MILL AIBWATUKIA LEBO YAKE,ADAI KUTOLIPWA PESA ZAKE.
Rapa kutoka nchini Marekani, Meek Mill ameamua kuichana Lebo yake kwa kile anachodai kwamba haijamlipa pesa zake zilizotokana na muziki wake kuuzwa. Kupitia mfululizo wa tweets zake kwenye mtandao wa Twitter Meek Mill amesema hajalipwa na hafahamu ni kiasi gani cha pesa lebo yake imeingiza kutoka kwenye muziki wake ambapo ameenda mbali zaidi na kusema […]
Read More