ERIC OMONDI AZUA GUMZO MTANDAONI, ADAI MISS P ANA UJA UZITO WAKE.

ERIC OMONDI AZUA GUMZO MTANDAONI, ADAI MISS P ANA UJA UZITO WAKE.

Mchekeshaji mashuhuri nchini Eric Omondi amezua gumzo mtandaoni baada ya kudai kuwa anatarajia mtoto pamoja na mwanamuziki Miss P. Kupitia ukurasa wake wa Instagram omondi ameshare picha inayomuonyesha Miss P akiwa mjamzito  na kumhakikishia kuwa atawajibikia mahitaji ya mtoto wao ajaye ikizingatiwa kuwa watoto ni baraka kutoka kwa Mungu. Hata hivyo watumiaji wa mitandao ya […]

Read More