GRAVITY OMUTUJJU AMPA ZA USO BEBE COOL,ADAI WIMBO WAKE MPYA NI FEKI.

GRAVITY OMUTUJJU AMPA ZA USO BEBE COOL,ADAI WIMBO WAKE MPYA NI FEKI.

Juzi kati mwanamuziki kutoka nchini Uganda Bebe Cool aliachia wimbo wake mpya uitwao”Gyenvudde” ambao unasimulia mafanikio yake katika tasnia ya muziki. Katika wimbo huo, ameelezea safari yake ya muziki na changamoto ambayo amekutana nayo hadi hapa alipofika. Mapokezi ya wimbo huo kutoka kwa mashabiki zake yamekuwa mazuri sana kwani wengi wamejitokeza kwenye mitandao yake ya […]

Read More