Adasa akiri kupitia nyakati ngumu maishani

Adasa akiri kupitia nyakati ngumu maishani

Msanii wa muziki nchini Adasa amezua gumzo mtandaoni baada ya kufunguka kuwa amekuwa akipitia kipindi kigumu maishani mwake. Kupitia ukurasa wake wa Facebook mrembo huyo ameweka wazi kuwa hivi karibuni maisha yamekuwa yakimlemea japo tumaini lake bado liko kwa Mungu. Hata hivyo licha ya kutoeleza ni nini hasa kinachomsibu maishani, mashabiki zake wameonekana kumfariji kwa […]

Read More
 PRITTY VISHY ALIZWA NA KITENDO CHA ADASA KUTAKA KUMUIBIA MPENZI WAKE MSANII STIVO THE SIMPLE BOY

PRITTY VISHY ALIZWA NA KITENDO CHA ADASA KUTAKA KUMUIBIA MPENZI WAKE MSANII STIVO THE SIMPLE BOY

Mpenzi wa mwanamuziki Stivo The Simple, Pritty Vishy ameonekana kukerwa na kitendo cha msanii Adasa kuonekana kumzimia kimahaba rapa huyo kwenye moja ya video aliyoshare kwenye mtandao wa Instagram. Kwenye video hiyo ambayo wapo ufukweni mwa bahari Hindi, Adasa anaonekana akipiga stori na Stivo the Simple wakiwa matembezini ambapo ghafla aliaanza kumzungushia kiuno akiwa katika […]

Read More