ADELE AMWAGA MACHOZI AKITANGAZA KUAHIRISHA MATAMASHA YAKE YA MJINI LAS VEGAS

ADELE AMWAGA MACHOZI AKITANGAZA KUAHIRISHA MATAMASHA YAKE YA MJINI LAS VEGAS

Mwanamuziki kutoka Uingereza Adele amejikuta akimwaga machozi wakati akitangaza kuahirishwa kwa maonesho yake 24 ya mjini Las Vegas (Las Vegas Residency) ambapo onesho la kwanza lilipangwa kuanza Januari 21 mwaka huu katika ukumbi wa Caesars Palace’s Colosseum. Adele amesema kuahirishwa kwa maonesho yake kumekuja kufuatia nusu ya timu yake kukutwa na maambukizi ya Corona. β€œNaomba […]

Read More