Kanye West Azuiliwa Kuingia Australia Kufuatia Wimbo Unaomsifu Adolf Hitler
Rapa maarufu wa Marekani, Kanye West, amezuiliwa kuingia nchini Australia kufuatia wimbo wake mpya unaodaiwa kumsifu kiongozi wa zamani wa kinazi, Adolf Hitler. Maamuzi hayo yamezua mjadala mkali kwenye mitandao ya kijamii na vyombo vya habari, huku viongozi wa Australia wakisisitiza msimamo wa nchi hiyo dhidi ya misimamo ya chuki na itikadi kali. Kwa mujibu […]
Read More