Daddy Owen Atoa Ushauri kwa Wanaume: “Usioe kwa Sababu ya Mapenzi, Oa kwa Sababu ya Kusudi”
Msanii wa Injili nchini Kenya, Daddy Owen, ameibua mjadala mkubwa mtandaoni baada ya kutoa ushauri kwa wanaume kuhusu ndoa, akisisitiza kuwa msingi wa ndoa haupaswi kuwa mapenzi pekee, bali kuelewa kusudi la maisha. Kupitia chapisho lake la Instagram, msanii huyo alisema: “Kama mwanaume, usioe kwa sababu ya mapenzi. Oa kwa sababu ya kusudi. Nilifikiri ndoa […]
Read More