MICHUANO YA AFCON KUENDELEA LEO NCHINI CAMEROON

MICHUANO YA AFCON KUENDELEA LEO NCHINI CAMEROON

Michuano ya fainali za mataifa ya Afrika AFCON zilianza kutimua vumbi jana katika miji ya Cameroon kwa michezo miwili kuchezwa. Mchezo wa mapema katika dimba la Olembe wenyeji indomitable lions Cameroon walianza vema kwa ushindi wa 2-1 dhidi ya Burkina Faso waliotangulia kupata bao. Mchezo wa pili katika kundi hilo umewakutanisha Ethiopia dhidi ya cCape […]

Read More