Khaligraph Jones Ashinda Tuzo ya Best Lyricist in Africa, Awaangusha Mastaa Wakubwa
Rapa nguli wa Kenya, Khaligraph Jones, ameweka historia kwa kutwaa tuzo ya Best Lyricist in Africa katika tuzo za mwaka huu za 2025 Africa Golden Awards, akiibuka mshindi mbele ya majina makubwa ya muziki barani Afrika. Katika kipengele hicho kilichoandaliwa kwa ushindani mkali, Khaligraph aliwashinda wasanii wakubwa kama Burna Boy (Nigeria), Sarkodie (Ghana), Nasty C […]
Read More