WILLY PAUL ATOA TRACKLIST YA ALBUM YAKE MPYA
Staa wa muziki nchini Willy Paul amewapa mashabiki wake orodha nzima ya nyimbo zitakazopatikana kwenye album yake mpya “The African Experience”. “The African Experience” ina jumla ya nyimbo 17, ikiwa na kolabo 5 pekee kutoka kwa wakali kama Juma Jux, Eddy Kenzo,Daphne,Fik Fameica na wengine. Hitmaker huyo wa “Lenga” anatarajiwa kuiachia album hiyo wakati wowote […]
Read More