AFRO EAST ALBUM YA HARMONIZE YAFIKISHA ZAIDI YA STREAMS MILLIONI 2.5 BOOMPLAY
Album ya Mwanamuziki harmonize iliyotika Machi 14 mwaka wa 2020 Afro East yenye nyimbo 17 imefanikiwa kufikisha jumla ya streams Million 2.5 katika mtandao wa boom play music. Kwa upande wa Album, album yenye streams nyingi katika mtandao huo kwa wanamuziki wa tanzania ni album ya Mwanamuziki rayvanny Sound From Africa ambayo ina jumla […]
Read More