Google Photos Kuleta Kipengele Kipya cha AI Kinachoitwa “Remix” kwa Kubadilisha Picha Kuwa Katuni na Zaidi

Google Photos Kuleta Kipengele Kipya cha AI Kinachoitwa “Remix” kwa Kubadilisha Picha Kuwa Katuni na Zaidi

Katika kipindi ambacho matumizi ya akili bandia (AI) yamepamba moto duniani, kampuni ya Google haijabaki nyuma. Sasa inajiandaa kuzindua kipengele kipya katika Google Photos kiitwacho Remix, ambacho kitawezesha watumiaji kubadilisha picha zao kuwa mitindo ya kisanaa kwa kutumia akili bandia ya kizazi kipya (GenAI). Kupitia Remix, watumiaji wa Google Photos wataweza kugeuza picha za kawaida […]

Read More