AK Yatangaza Tarehe Mpya za Mashindano ya Majaribio ya Riadha Kitaifa
Mashindano ya majaribio ya riadha ya kitaifa ya kuiteua timu itakayoshiriki katika mashindano ya riadha duniani yataandaliwa tarehe 22 mwezi huu, na wala sio tarehe 1 na 2 Agosti kama ilivyotangazwa hapo awali. Mbio hizo zitafanyika katika uwanja wa Ulinzi, na wanariadha walioalikwa pekee ndio watakaoruhusiwa kushiriki, kwa mujibu wa Chama cha Riadha Nchini (AK). […]
Read More