Rapa AKA atishia kumshtaki Cassper Nyovest kwa kuichafua brand yake

Rapa AKA atishia kumshtaki Cassper Nyovest kwa kuichafua brand yake

Wanamuziki nyota kutoka Afrika Kusini Cassper Nyovest na AKA bado wanaendelea kutupiana maneno kwenye mitandao ya kijamii licha ya kuwahi kuonekana pamoja lakini inawezekana bifu lao halitaishi hivi karibuni. Leo yameibuka makubwa baada ya Cassper kupitia ukurasa wake wa Twitter, ku-post picha ya AKA akiwa ameshikilia kinywaji chake cha pombe (Billiato) na kumtangaza kama Balozi […]

Read More