Happy C aumizwa na hatua ya Akeelah kuacha muziki.

Happy C aumizwa na hatua ya Akeelah kuacha muziki.

Msanii kutoka 001 music Happy C ameoneshwa kusikitishwa na kitendo cha Akeelah kutangaza kuacha muziki. Kwenye mahojiano na Captain Nyota amesema Akeelah ni msanii mwenye kipaji cha kipekee kwenye muziki wa Kenya, hivyo hapaswi kukata tamaa kwenye harakati za kuipambania ndoto yake kwa kuwa muziki una changamoto nyingi. Happy C amemshauri kujifikiria tena kutokana na […]

Read More
 Akeelah atangaza kuacha muziki

Akeelah atangaza kuacha muziki

Msanii wa kike kutoka Kenya Akeelah amezua gumzo mtandaoni baada ya kutangaza kuwa ameacha muziki kabisa. Kupitia insta story yake Akeelah ameandika kuacha muziki kwa sababu ya maonevu na unyanyasaji alioupitia katika safari yake ya mziki. Hitmaker huyo wa Tujikumbushe, ameushukuru uongozi wa Hakim Empire kwa mchango wao kwake huku akikosa kuutaja uongozi wa Shirko […]

Read More