Akothee amsamehe mdogo wake Cebbie Koks, ataka vyombo vya habari kutoingilia ugomvi wao
Mwanamuziki Akothee amekiri hadharani kumsamehe mdogo wake Cebbie Koks Nyasengo siku moja baada ya kudai kuwa dada yake huyo amekuwa kizingiti kikubwa kwake kufanikisha ndoa yake na mchumba wake mwenye asili ya kizungu. Kupitia waraka mrefu aliouandika Instagram amesema licha ya kuwa mdogo wake cebbie alimtakia maneno yaliyomvunja moyo kipindi cha nyuma ameamua kumsamehe huku […]
Read More