AKOTHEE AMPA SOMO ERIC OMONDI
Nyota wa muziki nchini Akothee amempa somo mchekeshaji maarufu nchini Eric Omondi. Hii ni baada ya mchekeshaji huyo kukataa kutoa mahitaji ya msingi kwa mtoto wake aliyempata na Mwanahabari Jackline Maribe hadi pale watakapofanya vipimo vya DNA. Kupitia ukurasa wa Instagram Akothee amemtaka Eric Omondi amshughulikie mtoto wake huyo badala ya kushinikiza mtoto wao huyo […]
Read More