AKOTHEE AVILAUMU VYOMBO VYA HABARI NA SERIKALI KWA MASAIBU YANAYOKUMBA MUZIKI WA KENYA
Nyota wa muziki Akothee amedai kwamba wasanii wa Kenya hawapati support ya kutosha kutoka kwa serikali na vyombo vya habari. Akothee ambaye anafanya vizuri na wimbo wake mpya uitwao “Kula Ngoma” amesema vyombo vya habari nchini vimewapa wasanii wa mataifa mengine kipau mbele kuliko wasanii wa Kenya kwa kuzipiga nyimbo zao kila mara. Ameenda zaidi […]
Read More