Bebe Cool Aomba Msaada wa Rais Kutangaza Albamu yake Mpya Kimataifa
Msanii maarufu wa Uganda na mwanzilishi wa Gagamel Crew, Bebe Cool, ametangaza kuwa albamu yake mpya “Break the Chains” itazinduliwa rasmi tarehe 30 mwezi huu. Albamu hiyo, ambayo ni ya saba katika kazi yake ya muziki, imechukua karibu mwaka mmoja kuikamilisha na imerekodiwa katika studio za kimataifa nchini Nigeria, Afrika Kusini, na Uingereza. Katika mahojiano […]
Read More